Magufuli. Ali Mohamedi Shein kwa kufanya kazi nzuri ya utekelezaji wa ilani ya CCM ya mwaka 2010 – 2025 ambayo imekirahishia Chama hicho kazi ya … Accessibility Help. Ashatu Kijaji (Kondoa), anamshukuru Dk. ... na Maendeleo (Chadema) Mhe. #NiMagufuliTena 2020 - 2025 | 08 Wanasubiri siku ya uchaguzi tu,” alisema Dkt. ILANI YA CHAMA CHA MAPINDUZI KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2020 utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015. “Uchaguzi huu utaamua ama tuendelee na mageuzi tuliyoyaanzisha ama tusiendelee nayo, uchaguzi huu utaamua tupate viongozi watakaokuwa nasi wakati wa shida ama watatukimbia…uamuzi ni wenu. “Mwaka huu kura zinamwagika tutahakikisha unapata nyingi, ndugu zangu wa Dodoma aliyofanya Magufuli kama ninyi hamtasema mawe yataongea,” anasema Mavunde. Tutaimarisha masoko kwenye maeneo yenye shughuli za uchimbaji madini na kuhamasisha ujenzi wa viwanda vya uchenjuaji madini,” anasema Dk. Aidha mradi wa Kinyerezi 11 unatarajiwa kuzalisha megawati 240 huku ule wa Kinyerezi 1 ukitarajiwa kuongeza megawati 325 kutoka 190 za sasa. Anasema watanunua meli ya kubeba mizigo katika Bahari ya Hindi, kujenga meli tatu na kununua meli ya kubeba mabehewa ya treni. Magufuli. ZITTO KABWE ALIYOITOA MAREKANI. NORA DAMIAN -DODOMA. Mgombea urais wa Zanzibar, Dk. ILANI YA CCM KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015 UMOJA NI USHINDI 25. JIUNGE NA "BREAKING NEWS!" Aidha utawekwa mkakati wa makusudi wa kuwawezesha vijana wabunifu na makundi mbalimbali ya vijana na wanawake kuanzisha shughuli za uzalishaji mali na ujasiriamali ili waweze kujiajiri na kuajiri wengine. ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI (UKAWA) 2015-2020 John Magufuli wanaendelea kuinadi ilani hiyo katika maeneo mbalimbali ya nchi ili wananchi wapate fursa ya kujua yale ambayo CCM imepanga kuyatekeleza katika miaka mitano ijayo sambamba na yale yaliyotekelezwa kwa kipindi cha 2015 – 2020. Kwa mujibu wa Dk. Dk. Katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba CCM Zanzibar inataraji kupata Sura mpya katika nafasi ya urais baada ya Rais wa sasa dokta Mohammed Shein … Ilani ya Chadema ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2020 – 2025 imetungwa kwa kuzingatia misingi ya falsafa, itikadi pamoja na madhumuni ya kuanzishwa kwa Chadema, kama ilivyofafanuliwa kwa kina katika Sura ya 3 na Sura ya 4 ya Katiba ya Chadema (Toleo la 2019). Magufuli. Andika hapo. CHAMA CHA MAPINDUZI C. GOALS OF THE CCM MANIFESTO FOR THE YEAR 2020-2025 This Manifesto aims to build on the gains made by the implementation of the 2015 CCM Election Manifesto. ILANI YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI, OKTOBA 31, 2010. Sekta ya sanaa na michezo tutaibeba kwa nguvu kubwa zaidi,” anasema Dk. Ilani hiyo imepitishwa leo Jumanne tarehe 4 Agosti 2020 na wajumbe wa mkutano huo uliofanyika kwenye Ukumbi wa … CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA). Thursday, September 10, 2020,featured,siasa Ilani Ya Ccm 2020 by BASHIR NKOROMO . Tafadhali andika maoni yako kuhusu habari hiyo uliyosoma. Kama mtakavyokumbuka, kwenye Hotuba hiyo ya kuzindua Bunge la 11 nilieleza mambo mengi … Magufuli uandikishaji darasa la kwanza umeongezeka kutoka wanafunzi milioni 1 hadi milioni 1.6, wanafunzi msingi wakiongezeka kutoka milioni 10.2 hadi milioni 12.6 na wale wa kidato cha kwanza hadi cha nne wakiongezeka kutoka milioni 1.6 hadi milioni 2.1. Tunaomba ridhaa tena kwa miaka 5 ili tufanye makubwa zaidi kwa Watanzania. Vilevile, maudhui ya Ilani hii yamezingatia Mwelekeo wa Sera za Chama Cha Mapinduzi wa 2020-2030, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar 2020 … Tumetekeleza Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2015 - 2020, tumeijenga Tanzania mpya. Pia kuimarisha mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi wa elimu ya juu na kati ili kuhakikisha vijana wanaohitimu wanapata maarifa na ujuzi wa kazi utakaowawezesha kujiajiri na kuajirika. Mafanikio mengine ni kuzalishwa ajira zaidi ya milioni 6 na kufanikiwa kupunguza umaskini wa kipato kwa asilimia 26.4. “Tulizoea hoteli kujaa wakati wa mkutano mkuu wa CCM na vikao vya Bunge, leo zinajaa wakati wote. Kuna dunia ya nchi za Kaskazini ambazo zimeendelea, na dunia ya nchi za Kusini zilizo nyuma. Kwa upande wake Japhet Hasunga (Vwawa), anasema watapambana usiku na mchana kuhakikisha mambo yaliyofanywa na Dk. Mwinyi. Magufuli anasema watumishi mbalimbali wa kada ya afya wataongezwa kufikia 25,000 pamoja na kukamilisha ujenzi wa zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya na rufaa. Mengine ni kujengwa kwa zahanati mpya 1,198, vituo 487, hospitali za wilaya 99, hospitali za mikoa 10, hospitali za rufaa katika kanda 3, kuajiri watumishi wa afya 14,479, kuongeza bajeti ya dawa kutoka Sh bilioni 31 hadi kufikia Sh bilioni 270, magari ya kubebea wagonjwa 117 na kuimarisha matibabu ya kibingwa ya magonjwa ya moyo, figo, ubongo na kansa. “Kwenye madini tutaimarisha udhibiti na usimamizi wa uchimbaji madini ili uweze kunufaisha taifa, tutawezesha wachimbaji wadogo wafanye shughuli zao kwa tija. Barabara nyingine ni ile ya Manyoni – Tabora – Mpanda – Kigoma – Nyakanazi na ile ya Lupilo – Malinyi – Kilosa pamoja na madaraja makubwa 7 yakiwemo ya Busisi na Salenda. ILANI YA UCHAGUZI YA CCM YA MWAKA 2005 - 2010 UTANGULIZI HALI ILIVYO DUNIANI NA MAJUKUMU YALIYO MBELE YETU Hali Ilivyo Duniani 1. Pia kuimarisha mifumo ya taarifa za soko la ajira na mitaji ili kuwezesha vijana kutumia fursa hizo, kutoa mafunzo ya kukuza ujuzi na stadi mbalimbali za kazi kwa nguvu kazi ya taifa katika sekta za kipaumbele. Aidha miradi ya maji 1,423 imekamilishwa na mingine inaendelea kutekelezwa sehemu mbalimbali nchini ikiwemo ya kupeleka maji katika miji 28 inayotekelezwa kwa Sh trilioni 1.2. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …(endelea). Katika usafiri wa anga anasema wanatarajia kununua ndege mpya tano na kati ya hizo mbili zitakuwa za masafa marefu, mbili za masafa ya kati na moja ya mizigo. Write CSS OR LESS and hit save. Magufuli. TUMETEKELEZA kwa Kishindo Tunasonga Mbele kwa Pamoja, ndiyo kaulimbiu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28.. Chama hicho tayari kimezindua kampeni zake na kuanza kuinadi Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 kikiomba ridhaa ya Watanzania ili kiweze kuwaongoza tena katika kipindi cha miaka mitano ijayo. “Kutoka kundi la nchi maskini na kuingia kundi la uchumi wa kati huu ni ushahidi tosha kuwa tunastahili kupewa miaka mingine mitano, tupeni tuendelee kuongoza,” anasema Dk. Chama hicho tayari kimezindua kampeni zake na kuanza kuinadi Ilani ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 kikiomba ridhaa ya Watanzania ili kiweze kuwaongoza tena katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Anasema pia kutokana na kutungwa kwa sheria ya kulinda rasilimali za taifa mwaka jana sekta ya madini iliongoza kwa kukua kwa asilimia 17.7 huku mapato yakiongezeka kutoka Sh bilioni 168 (2014/15) na kufikia Sh bilioni 528 (2019/20). Hatua nyingine ni kuimarisha mifumo na kuongeza kasi ya kurasimisha ujuzi ili nguvu kazi ya taifa itumike ipasavyo katika soko la ajira la ndani na nje. Ilani hii inalenga kuendeleza mafanikio yaliyopatikana kutokana na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015. Magufuli anasema eneo la umwagiliaji litaongezwa kutoka hekta 511,383 hadi kufikia milioni 1.2 sambamba na kuimarisha huduma za ugani na vyama vya ushirika. Sign In. Ilani Ya Chadema 2020-2025 PDF Download Here. Magufuli. Chadema Manifesto of General Elections for President, Members of Parliament and Councilors for the year 2020 – 2025 have been temporarily formed foundations of philosophy, ideology as well as the purpose of establishment for Chadema, as explained in detail in Chapter 3 and Chapter 4 of the Chadema Constitution (2019 Edition). “Ninajua wako baadhi ya watu wanaweza wasiamini kwamba tunaweza kuyatekeleza, naomba Watanzania watuamini uwezo wa kuyatekeleza tunao kama ambavyo tumeweza kuyatekeleza yale mengine kwa kipindi cha miaka mitano. Anasema mashauri ya rushwa 2,256 yamefunguliwa na kwamba Serikali imeshinda 1,013 kati ya 1,929 yaliyoamriwa. “Nina uhakika baada ya kazi kubwa hii tuliyoifanya kwa miaka mitano tutaanza kufaidi mavuno ya meli tulizozijenga, barabara, reli, ukarabati na ujenzi wa viwanja tunavyovijenga na ndege tunazonunua,” anasema Dk. Anasema mapato yatokanayo ya utalii yataongezeka kutoka Dola bilioni 2.6 hadi Dola bilioni 6 huku idadi ya watalii ikitarajiwa kuongezeka na kufikia milioni 5. Magufuli anasema watahakikisha asilimia 90 ya Watanzania wanapata huduma ya maji safi na salama. Hussein Mwinyi, anasema atafanya kazi ya kuendeleza pale alipoishia Dk. CCM katika ilani yake ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 imesema itabuni na kutekeleza mikakati ya kuongeza na kukuza wigo wa mazao ya utalii ili kufikia watalii milioni 5 kwa mwaka kufikia mwaka 2025 na kuongeza mapato kutoka Dola za Marekani bilioni 2.6 (Sh6.1 trilioni) mwaka 2020 hadi Dola za Marekani bilioni 6 (Sh13.9 trilioni) mwaka 2025. “Sekta hii inakua kwa kasi na imeajiri vijana wengi, tutaimarisha usimamizi wa hati miliki ili wasanii wanufaike na kazi zao. Vilevile, maudhui ya Ilani hii yamezingatia Mwelekeo wa Sera za Chama Cha Mapinduzi wa 2020-2030, Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 na Dira ya Maendeleo ya Zanzibar 2020-2050. “Yote ambayo hatukuyamaliza tutakwenda kuyatekeleza na tuelewe kwamba tukisema tunatekeleza. CCM ILANI YA UCHAGUZI 2015-20.pdf There is document - CCM ILANI YA UCHAGUZI 2015-20.pdf available here for reading and downloading. Katika kipindi cha Ilani hii ya 2015-2020, Chama Cha Mapinduzi kitaielekeza Serikali yake kuiendeleza Sekta ya Mifugo kwa kuchukua hatua zifuatazo:-(a) Kuongeza uzalishaji wa mitamba kwenye mashamba inakozalishwa na kuweka mazingira wezeshi kwa Mikakati mingine ni kuimarisha utekelezaji wa Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji Nchini ili shughuli za uchumi na biashara ziongezeke na kuzalisha ajira. Kwa upande wa uvuvi anasema itajengwa bandari ya uvuvi katika ukanda wa Pwani, kuongeza uzalishaji wa vifaranga na kuhamasisha ujenzi wa viwanda vya kuchakata samaki. Started by johnthebaptist Oct 22, 2020 Alisema Kamati Kuu ya CCM ilifanya kazi yake na kuwasilisha nyaraka hizo mbili na NEC ilipitisha ilani ya chama hicho kwa mwaka 2020-2025 pamoja na mwelekeo wa CCM kwa mwaka 2020-2030. ILANI YA ACT WAZALENDO KWA AJILI YA UCHAGUZI MKUU 2020 wa mazao ya biashara kama Korosho, Pamba na Tumbaku, au wa mazao ya chakula kama Ufuta, Mbaazi na Mahindi. Bashir Nkoromo, Blogger and Senior Phototojournalist. Dk. Magufuli kuwa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya wana deni kubwa la kumpa kura. Magufuli anasema uchumi umeendelea kukua kutoka asilimia 6.9 hadi 7 huku Pato Ghafi la Taifa likiongezeka kutoka Sh trilioni 94.349 (2015) hadi kufikia Sh trilioni 139.9 (2019). Nchi za Kaskazini zimeendelea kwa vile Mwinyi alitumia nafasi hiyo kumshukuru Rais wa Zanzibar, Dkt. ... ILANI YA CHADEMA 2020-2025 Pakua na na kusoma Ilani ya Chadema 2020-2025 hapa. Ilani Ya Ccm 2020 by BASHIR NKOROMO. Magufuli ameahidi kujenga uwanja mkubwa katika Jiji la Dodoma ili kuwawezesha wananchi wote kushuhudia matukio yatakayokuwa yakifanyika badala ya wengine kukaa na kuangalia kwenye luninga. Dk. “CCM tunayo majimbo 18 kibindoni wagombea wetu … Mkakati mwingine ni kuwawezesha vijana wanaohitimu elimu ya juu na vyuo vya ufundi kuunda makampuni kwa lengo la kuwapatia mitaji na nyenzo kupitia taasisi za fedha na mifuko mingine ya uwezeshaji. Dk. “Mabadiliko ya kuona kero zao mbalimbali zinashughulikiwa, katika kipindi cha miaka mitano iliyopita Serikali ya Awamu ya Tano imejitahidi kukata kiu hiyo ya kuleta mabadiliko nchini. credits: @ccmtanzania #ccm2025 #jpm2020 #Tumetekekelez #tanzaniampya #Mitano5tena #MagufuliNiMaendeleo Access to quality education. © New Habari (2006) Ltd. Haki zote zimeifadhiwa. Godwin Mkanwa akimkagua mbuzi aliyechinjwa katika machinjio ya mnada wa Bicha wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi uliofanywa na kamati ya siasa Mkoa wa Dodoma hivi karibuni. “Mafanikio haya yote yasije yakavurugwa, tupeni tena miaka mitano tukayaendeleze,” anasema Dk. kwenye Ilani yetu ya Uchaguzi wa mwaka 2020 - 2025, tutaendelea pia kutekeleza na kusimamia mambo yote niliyoeleza wakati nikizindua Bunge la 11, tarehe 20 Novemba, 2015. Miaka mitano hii ni kipindi ambacho tulishuhudia wavuvi wakichomewa nyavu zao, kuanzia pwani ya Bahari ya … “Tumefanya yaliyo mazuri kwa wananchi wetu ndiyo maana tunaomba tena miaka mitano tuendelee kufanya mazuri… tupeni tena miaka mitano tukafanye makubwa zaidi,” anasema Dk. Kuhamasisha na kusimamia halmashauri zote nchini kuendelea kutenga, kurasimisha na kupima na kuweka miundombinu kwenye maeneo maalumu kwa ajili ya uwekezaji na kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu ili waweze kujishughulisha na uzalishaji mali na biashara. “Tutainadi Ilani yetu ambayo ina mambo mengi makubwa na muhimu hasa ya sekta ya kilimo na nyingine, ni imani yangu CCM kitashinda kwa kishindo na kuendelea kuongoza dola,” anasema Hasunga. Mgombea ubunge Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde, anasema maamuzi ya kuhamishia Serikali Dodoma yamebadili maisha ya jiji hilo na uchumi umezidi kukua. Katika miaka mitano ijayo, Chama Cha Mapinduzi kinakusudia kuimarisha zaidi sekta ya nishati kwa kuhakikisha kuwa nchi inazalisha umeme wa kutosha ili... Jump to. Vipaumbele vitakavyotekelezwa katika miaka mitano ijayo ni pamoja na kulinda na kuimarisha misingi ya utu, usawa haki na uongozi bora ili kudumisha amani, umoja na mshikamano wa taifa, kukuza uchumi wa kisasa, fungamishi, jumuishi na shindani uliojengwa katika msingi wa viwanda, huduma za kiuchumi na miundombinu wezeshi.